HOSPITAL HILL HIGH SCHOOL

LANGUAGE DEPARTMENT

ENGLISH DEPARTMENT

The English department has five able members, the jovial Mrs. Kanyiri (H.O.S),  the ever-smiling Mr. Obura,  and Mr. Kwena.  We are a working department. We cherish working together which is what keeps it going.  The students’ reception towards English / Literature is very positive and this steers them towards good performance. Even though English is perceived to be a challenge to our boys, ours take it with good stud and has seen them perform well at the National exam

LONG LIVE ENGLISH!

 

 

IDARA YA KISWAHILI

Idara ya Kiswahili inashughulikia somo la  Kiswahili ambalo ni la lazima katika shule za msingi na za upili.Katika  shule hii ya wavulana  ya Hospital Hill.  Walimu na wanafunzi hujikakamua vilivyo ili kuhakikisha kwamba ufanisi umepatikana. 

Shughuli za idara

a)     Kuwafunza wanafunzi Kiswahili.

b)    Kuwaandaa wanafunzi kwa mtihani wa kitaifa wa KCSE.

c)     Kuwaandaa wanafunzi ili kushiriki katika mashindano na tamasha za muziki na maigizo.

d)    Kuwashirikisha wanafunzi  katika mijadala shuleni na kwingineko.

e)     Kuwaelekeza wanafunzi katika  utunzi  wa kazi za Kiswahili kama mashairi, tamthilia , nyimbo na Hadithi fupi.

f)      Kuwahamasisha wanafunzi kuhusu matumizi ya lugha sanifu na kupambana na kilugha cha sheng’.

 

WALIMU KATIKA IDARA YA KISWAHILI

Idara hii ina waalimu wakakamavu na wanaojikakamua kweli nao ni;

  1. Bi Musembi
  2. Binti Omache
  3. Binti Opiyo
  4. Bwana Kulabusia

 

Bi Musembi

Mkuu wa Idara ya Lugha

Related pages

Article Guide | Journalism Policy All Rights Reserved. Copyright © HOSPITAL HILL HIGH SCHOOL 2023. Powered by Elimu Holdings .

Terms | Privacy

Welcome

Please pick the category that fits you best